- 203 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZULIA JEKUNDU - WAKENYA WAISHIO MAREKANI WAZINDUA JUMBA LA FASHENI
- - ENERGY FINANCING ››
- 15 May 2025 - Kenya's electricity supply will not be interrupted despite several major dams exceeding their capacity, top energy officials confirmed on Thursday.
- 15 May 2025 - EACC on Wednesday arrested three directors of Ramagon Construction Company Limited in an ongoing probe on the under siege Matili Technical Training Institute (MTTI) which is facing auction.
- 15 May 2025 - The government has unveiled a multi-agency team that will consolidate existing registers for all students in the country, from early childhood to university level, into a single integrated database.
- 15 May 2025 - Gospel artist Alex Nyachonga Apoko, popularly known as Ringtone, was on Thursday arraigned at the Milimani Law Courts alongside co-accused Alfred Juma Ayora over allegations of defrauding a businesswoman of a parcel of land worth Ksh.50 million.
- 15 May 2025 - Agriculture Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has called on those opposing the leasing of four State-owned sugar factories to private millers to embrace the move to allow farmers to receive their benefits.
- 15 May 2025 - The Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) found that Kenya Police officers’ population fell from 92, 350 in 2023 to 88, 483 officers in 2024.
- 15 May 2025 - The Media Council of Kenya (MCK) has launched the revised Code of Conduct for Media Practice 2025, a pivotal step to strengthen ethical standards in the nation’s evolving media landscape.
- 15 May 2025 - Principal Prosecution Counsel Bernard Owour informed the court that the two allegedly murdered Gaala Adan, a refugee girl aged 17, on March 22, 2025 at Lolkuta South Sub-location, Wara Location, Hadado Sub-County, within Wajir County.
- 15 May 2025 - Tax will be imposed on money sent abroad unless the sender can prove US citizenship or legal status.
- 15 May 2025 - The land is located in Karen, Nairobi.