
12,072 views
Tufaha:Malkia wa matunda
Je, tufaha linastahili sifa ya kuwa miongoni mwa matunda yenye manufaa makubwa kiafya? Licha ya kutokuwa na kiwango kikubwa cha vitamini C ama madini ya chuma kama matunda mengine ila lina nyuzinyuzi na viambato asilia vinavyoweza kusaidia kulinda afya ya mwili. Lakini ni nini hasa kinacholifanya tunda hili kuwa la kipekee na je, msemo kwamba tufaha moja kwa siku humweka daktari mbali una ukweli wa kisayansi? Mwandishi wa BBC @beldeenwaliaula anakusimulia zaidi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?
- Mbunge ageuza hotuba ya kuaga bungeni kuwa pendekezo la ndoa