
10,946 views
Mbunge ageuza hotuba ya kuaga bungeni kuwa pendekezo la ndoa
Mbunge amvisha pete mpenzi wake bungeni wakati wa hotuba yake ya kuaga Mwanasiasa mmoja nchini Australia ametumia hotuba yake ya kuaga bungeni kumuomba mpenzi wake wafunge ndoa. Ukumbi wa bunge ulilipuka kwa shangwe baada ya Mbunge Jordan Lane kutoa pete ya uchumba na kumuuliza mpenzi wake: “Je, utakubali kunioa?” Lane alitangaza kujiuzulu takriban mwezi mmoja uliopita na alikuwa akitoa hotuba yake ya mwisho katika Bunge la Jimbo la New South Wales. #bbcswahili #australia #bungeni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mchungaji anayetoa mahubiri ya kupotosha nchini Nigeria.
- Matangazo ya Dira ya Dunia TV
- Kigogo mwingine wa dawa za kulevya anaswa na FBI
- Rwanda: Vijana wabuni vitambaa vya nguo kuupita migomba
- Wafanyakazi wakwama baada ya kufunikwa na theluji Japan
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono