
19,438 views
Man United yamfukuza Carrick
Manchester United imemfukuza kazi kocha wake mkuu Michael Carrick, Kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu Na kuifanya klabu hiyo kuwa katika nafasi ya 18 katika ligi kuu ya England Michael Carrick alipewa mkataba wa kudumu mwezi Mei mwaka huu na mkataba wake ulikuwa ukitarajiwa kumalizika mwaka 2028. Man United wanatarajia kumtangaza Mauricio Pochettino kuwa kocha mpya Baada ya kufikia nae makubaliano ya awali ya kuja kuinoa United #bbcswahili #manchesterunited #carrick Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?
- Mbunge ageuza hotuba ya kuaga bungeni kuwa pendekezo la ndoa