
39,120 views
Harmonize: Miaka 31, mwanzo wa ukurasa wangu mpya
Msanii wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Harmonize amesema anatamani kuwa na familia, lakini hataki kukurupuka kufanya uamuzi huo. Anasema anahitaji muda wa kujitathmini na kuelewa changamoto zilizopo kabla ya kuamua kuanzisha familia. Amezungumza na DJ Edu masuala mbalimbali katika maisha yake na safari ya muziki ikiwemo wasanii ambao angependa kufanya nao kazi kwa sasa #bbcswahili #harmonize #tanzaniabongofleva Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?