
5,804 views
Nini kilitokea katika mifumo ya Microsoft?
Microsoft ilipata hitilafu katika mifumo yake baada ya baadhi ya seva zake kushindwa kufanya kazi ghafla. Hali hiyo ilisababisha seva zilizobaki kulemewa na kushindwa kuhudumia watumiaji vizuri, hivyo kuathiri huduma kama Outlook, Teams na Copilot duniani kote. Je nini haswa kimetokea @frankmavura anaelezea kwa kina #bbcswahili #microsoft #outlook Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?
- Mbunge ageuza hotuba ya kuaga bungeni kuwa pendekezo la ndoa
- AMKA NA BBC - NOVEMBER 20' 2026