
7,569 views
BBC News Swahili
Katika makazi ya wakimbizi ya Kalobeyei, kaunti ya Turkana nchini Kenya, kwa miaka mingi wakimbizi wamekuwa wakitegemea msaada wa kibinadamu kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa. Lakini kwa baadhi yao, kutegemea msaada pekee hakukutosha. Kupitia mradi wa kilimo unaowaunganisha wakimbizi na wenyeji, wengi sasa wanapata chakula, kipato na matumaini ya maisha bora. Asha Juma alitembelea eneo hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo. #bbcswahili #wakimbizi #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?
- Mbunge ageuza hotuba ya kuaga bungeni kuwa pendekezo la ndoa
- AMKA NA BBC - NOVEMBER 20' 2026