
82 views
Wakazi wa Katani wafunga barabara kupinga hali mbovu ya barabara
Wakazi wa Katani, katika eneo la Syokimau kaunti ya machakos, walifunga barabara na kusambaratisha shughuli za usafiri kulalamikia hali mbovu ya barabara za eneo hilo. Wakazi wanasema wamekuwa wakihangaika na hali mbovu ya barabara na kuchangiwa na idadi kubwa ya malori yanayotumia barabara ya Katani kuelekea barabara kuu ya Mombasa.
- Kamati ya bunge kuhusu utawala yajadili matumizi ya fedha
- Wauguzi na wakunga waandamana Nairobi kudai malipo ya pensheni ya shilingi bilioni 20
- EACC kutangaza majina ya wanasiasa wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi kabla ya uchaguzi wa 2027
- Watu wenye ulemavu na watetezi wa haki wapinga mapendekezo ya mabadiliko ya kodi ya mapato nchini
- Kampuni ya China ya Itel Energy yazindua vituo vya kuzalisha va kuhifadhi umeme Kenya
- Wafanyabiashara 2,000 wapatiwa mafunzo ya kilimo kujizalishia mboga wanazouza
- Wasanii chipukuzi Samburu kupata studio ya kisasa ya muziki ya shilingi milioni 26
- Vijajna watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kukuza ajenda za uongozi badala ya chuki