
43 views
Wakazi eneo la Taveta kaunti ya Taita Taveta wataka serikali kutoa upya hati miliki za ardhi
Wakazi 300 wa kijiji cha Majengo eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta sasa wanaitaka serikali kutoa upya hati miliki za ardhi eneo hilo wakisema walizopewa hivi majuzi zina dosari nyingi.
- Kamati ya bunge kuhusu utawala yajadili matumizi ya fedha
- Wauguzi na wakunga waandamana Nairobi kudai malipo ya pensheni ya shilingi bilioni 20
- EACC kutangaza majina ya wanasiasa wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi kabla ya uchaguzi wa 2027
- Watu wenye ulemavu na watetezi wa haki wapinga mapendekezo ya mabadiliko ya kodi ya mapato nchini
- Kampuni ya China ya Itel Energy yazindua vituo vya kuzalisha va kuhifadhi umeme Kenya
- Wafanyabiashara 2,000 wapatiwa mafunzo ya kilimo kujizalishia mboga wanazouza
- Wasanii chipukuzi Samburu kupata studio ya kisasa ya muziki ya shilingi milioni 26
- Vijajna watakiwa kutumia mitandao ya kijamii kukuza ajenda za uongozi badala ya chuki