
1,075 views
Vifo vya akina mama wakati wa kujifungua vyapungua nchini
Vifo vya akina mama wakati wa kujifungua nchini vimepungua kutoka 355 hadi 263 kwa kila watoto 100,000 wanaozaliwa hai, mwaka mmoja baada ya kuanzishwa kwa mpango wa afya ya uzazi unaotekelezwa na kaunti. Baraza la magavana pamoja na wakurugenzi wa afya kutoka kaunti zote 47 wamekutana katika kaunti ya kirinyaga kutathmini maendeleo ya mpango huo na kupanga hatua zinazofuata za kukomesha vifo vinavyoweza kuzuilika vya akina mama na watoto wachanga ifikapo mwaka 2030.
- Former diplomat Mohamed Abdi Affey joins Wajir governor race, vows unity and inclusive development
- CITIZEN WEEKEND NEWS ~ NOVEMBER 28, 2026
- FKF and footballers’ association sign deal to strengthen player welfare
- Employers begin implementing Breastfeeding Mothers Act
- Church leaders oppose proposed consent rules for livestreaming services
- Sifuna urges opposition to decisively defeat Ruto in 2027 elections
- Mawaidha na bi msafwari: Ni nini unachofanya leo ili siku ukifa mume wako asitafte mke mwingine?
- Harambee Starlets yaanza maandalizi ya mechi za kirafiki dhidi ya Tanzania