
5,123 views
Kanja na Amin waagizwa kufika mahakamani kuhusu kutoweka kwa mfanyibiashara
Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja na Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Mohamed Amin, wameagizwa kufika mahakamani Jumanne wiki ijayo baada ya polisi kushindwa kumwasilisha mahakamani mfanyibiashara Moses Lubanga Mukuba, ambaye hajulikani aliko. Mukuba alikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) mwezi Septemba mwaka huu. Familia yake inaitaka mahakama kuwachukulia hatua maafisa hao wakuu kwa kudharau amri ya mahakama.
- Court gives government 45 days to disclose US deal on Nanyuki Ebola centre
- Gachagua urges Eastleigh communities to reject divisive politics
- Two KWS officers found guilty over disappearance of Lake Nakuru fisherman
- Siha na maumbile: Teknolojia ya kisasa ya uchunguzi wa magonjwa kuboresha huduma za afya
- NCCK yaitaka serikali kuifadhili IEBC kikamilifu
- Spika wa Bunge la Kaunti ya Kisumu Elisha Oraro ang’olewa mamlakani
- Sema na Citizen 10AM - 26NOV, 2026 [Part 1]
- Sugar workers issue seven-day strike ultimatum over Sh1.7 billion arrears