
2,817 views
NCCK yaitaka serikali kuifadhili IEBC kikamilifu
Baraza la Kitaifa la Makanisa nchini (NCCK) limeishinikiza Hazina ya Kitaifa kuifadhili kikamilifu Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), ili kuiwezesha kutekeleza majukumu yake na kufanikisha uchaguzi mkuu bila vikwazo. Baraza hilo pia limewaonya wanasiasa dhidi ya kuingilia utendakazi wa IEBC.
- Court gives government 45 days to disclose US deal on Nanyuki Ebola centre
- Gachagua urges Eastleigh communities to reject divisive politics
- Two KWS officers found guilty over disappearance of Lake Nakuru fisherman
- Siha na maumbile: Teknolojia ya kisasa ya uchunguzi wa magonjwa kuboresha huduma za afya
- Kanja na Amin waagizwa kufika mahakamani kuhusu kutoweka kwa mfanyibiashara
- Spika wa Bunge la Kaunti ya Kisumu Elisha Oraro ang’olewa mamlakani
- Sema na Citizen 10AM - 26NOV, 2026 [Part 1]
- Sugar workers issue seven-day strike ultimatum over Sh1.7 billion arrears