
6,323 views
Ngumi zaibuka bungeni
Matangazo ya moja kwa moja ya televisheni yamenasa tukio la wabunge wa Armenia wakipigana ngumi bungeni kufuatia mabishano makali yaliyozuka kati ya wabunge wawili. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya ndani, vurugu hizo zilisababisha usumbufu mkubwa ndani ya bunge. Sababu kamili ya mzozo huo bado haijawekwa wazi, lakini tukio hilo limeibua mjadala kuhusu mwenendo na nidhamu ya viongozi wa kisiasa ndani ya bunge la Armenia. - - #bbcswahili #bunge #ugomvi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?
- Mbunge ageuza hotuba ya kuaga bungeni kuwa pendekezo la ndoa
- AMKA NA BBC - NOVEMBER 20' 2026