
95,418 views
Kuku ndio 'mabosi wa mji'
Fikiria mji ambao kuku wanatembea sokoni, barabarani na hata kupanda juu ya magari kana kwamba wao ndio wenyeji. Karibu Kauai, Hawaii, kisiwa ambacho kimejaa maelfu ya kuku wa porini! Lakini waliwezaje kuwa wengi kiasi hicho? Mwandishi wa BBC @ahmedbahaj anatusimulia hii.. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
- Mitazamo ya dini kuhusu mwisho wa Dunia
- AMKA NA BBC - NOVEMBA 23' 2026
- Walimu 5 hatiani kwa kuwanyanyasa wanafunzi wa kiume kingono
- Wushu: Sanaa ya mapigano inayovutia vijana wa Kenya.
- ‘Tutakuwa na katiba mpya 2029’ asema Samia Suluhu Hassan. Katika Dira ya Dunia TV
- Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 20/ 11 /2026
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aahidi kuwepo kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2029.
- Soka Tanzania: Simba kutawala au Yanga kurudi kwa kishindo?