Skip to main content
Skip to main content

Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran ni nani?

  • | BBC Swahili
    48,547 views
    Duration: 1:19
    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimethibitisha kwamba Kiongozi Mkuu Ali Khamenei ameuawa, katika mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kutoka ambayo yalianza Jumamosi asubuhi (saa za ndani). Lakini alikua nani hasa? Munira Hussein na maelezo zaidi #Iran #marekani #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw