12,922 views
Duration: 37s
Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky amewasili Paris kufanya mazungumzo na viongozi wa takribani mataifa 30, huku Ufaransa ikisema itaihakikishia Ukraine usalama iwapo mazungumzo ya kusitisha vita na Urusi yatafaulu.
Je mazungumzo haya yatakuwa na tija yoyote?
Jiunge na Hamida Abubakar saa tatu kamili katika Dira Tv pamoja na ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili.
#bbcswahili #ukraine #paris
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw