Skip to main content
Skip to main content

Gachagua asema azma yake ya urais haitaathiri upinzani

  • | KBC Video
    8,541 views
    Duration: 4:20
    Kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amesema azma yake ya kuwania urais haitaathiri umoja wa upinzani. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la PCEA Illasit eneo la Kajiado Kusini kaunti ya Kajiado, Gachagua alisema upinzani hatimaye utaafikiana kuhusu mwaniaji mmoja atakayekabiliana na Rais William Ruto wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive