- 19,916 viewsDuration: 3:04Wahudumu wa matatu katika maeneo ya Kasarani, Mwiki, na Njiru jijini Nairobi wamehimiza maafisa wa usalama kukabiliana vilivyo na genge la wahalifu kwa jina kamegera, wanalodai linawangaisha kwa kukusanya pesa kwa lazima kutoka kwa magari ya uchukuzi wa umma. Pia wamedai kwamba maafisa wa polisi wa trafiki wameendelea kutapeli biashara zao, na kuacha wakikadiria hasara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive