Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa usalama wanasa basi likisafirisha silaha kwenye barabara ya Thika - Garissa

  • | KBC Video
    259 views
    Duration: 49s
    Kundi la maafisa wa usalama kutoka vitengo mbali mbali lilinasa basi lililokuwa likisafirisha silaha na bidhaa za serikali kwenye barabara kuu ya Thika-Garissa. Maafisa waliokuwa kwenye zamu kwenye kizuizi cha barabara cha Kanyonyoo walilisimamisha basi hilo linalomilikiwa na kampuni ya Buscar, lililokuwa likisafiri kutoka Lamu kuelekea Nairobi kwa ukaguzi wa kawaida, kabla ya kugundua kuwepo kwa risasi na mikoba ya bunduki aina ya AK47 na silaha nyingine, pamoja na bidhaa za mavazi yanazohusishwa na vyombo vya serikali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive