- 4,123 viewsDuration: 4:03Mamaye James Mutemi, kijana aliyeuawa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji wa ngamia eneo la Kathungu katika kaunti ya Kitui na kuchochea mzozo eneo la mpaka wa kaunti za Garissa na Kitui, sasa anataka haki kwa mwanaye. Hata hivyo mmiliki wa ngamia hao ambaye alikamatwa na polisi baada ya wafugaji hao kutoweka, amejitolea kufidia familia ya mvulana huyo. Anatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive