Skip to main content
Skip to main content

Maoni ya mashabiki wa Tanzania waliokuwa Morocco kushabikia Taifa Stars dhidi ya Nigeria #afcon2025

  • | BBC Swahili
    6,316 views
    Duration: 1:40
    "Inauma kupoteza dhidi ya Nigeria 2-1 katika mechi ya kwanza ya kundi C ya AFCON hapo Morocco ila bado tunamatumaini ya kusonga mbele'' - ''Hatukufungwa kizembe,kwa hivyo ninaamini tutaweza kushinda katika mechi ijayo dhidi ya Uganda na Tunisia'' - Tumaini ya Tanzania kufuzu raundi ya pili bado ipo? - - - #bbcswahili #taifastars #nigeria #foryou #morocco2025 #tanzania #AFCON #AFCON2025 #SuperEagles Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw