- 443 viewsDuration: 2:35Viongozi kutoka kaunti ya Kitui wametoa wito wa kutiwa nguvuni mara moja kwa waliotekeleza makabiliano katika eneo la Tseikuru ambayo yalisababisha vifo vya watu-7. Wakati wa ibada ya mazishi ya waathiriwa iliyoandaliwa katika shule ya msingi ya Tseikuru, viongozi hao aidha waliwahimiza wakazi kudumisha utulivu huku uchunguzi ukiendelea kuhusiana na suala hilo. Mauaji hayo yalizua taharuki baina ya jamii zinazoishi kwenye mpaka wa kaunti za Kitui na Garissa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive