8 Sep 2025 10:29 am | Citizen TV 16,297 views Duration: 46s Mtu mmoja ameaga dunia baada ya moto mkubwa kutokea katika ghorofa moja eneo la Daraja Mbili kaunti ya Kisii mapema leo asubuhi