Skip to main content
Skip to main content

Murkomen: Serikali inatatua mzozo kwenye mpaka wa kaunti za Kitui–Garissa

  • | KBC Video
    275 views
    Duration: 2:37
    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesema serikali imepiga hatua kubwa katika kudhibiti usalama kote nchini. Akizungumza katika eneo la Metkei, kaunti ya Elgeyo Marakwet, Murkomen alisema msako wa kukusanya bunduki haramu katika eneo la North Rift umefanikiwa kupata bunduki elfu 2, na kwamba eneo hilo sasa ni salama. Alisema serikali inatatua mzozo kwenye mpaka wa kaunti za Kitui–Garissa na kaunti za Kitui–Tana River. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive