- 1,492 viewsDuration: 8:08Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha kwa muda tishio la kuiwekea China ushuru zaidi wa kibiashara kwa miezi mitatu ijayo saa chache kabla ya hatua hiyo kuanza kutekelezwa. China vile vile imetangaza kusimamisha hatua kama hiyo kwa upande wake.