Skip to main content
Skip to main content

Mwigulu:Maisha ya watu yamepotea

  • | BBC Swahili
    18,354 views
    Duration: 2:05
    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema si busara kwa watanzania kutaja idadi ya watu waliokufa kama magari akidai kufanya hivyo kunaongeza machungu kwa wafiwa. - - #bbcswahili #uchaguzi2025 #maandamano #wazirimkuu