Skip to main content
Skip to main content

Nani msema kweli: Iran yakanusha kufanya mazungumzo na Marekani

  • | BBC Swahili
    22,652 views
    Duration: 12:57
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema amehairisha mashambulizi yote ya kijeshi dhidi ya mitambo ya umeme ya Iran na miundombinu ya nishati kwa siku tano - kufuatia kile alichokiita "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili la kumaliza uhasama". Mazungumzo ambayo Iran imekanusha kufanyika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw