- 16,245 viewsDuration: 1:40"Nimeambiwa ya kwamba tangazo letu la kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta Tanga limewakera kiasi" - Rais William Ruto akizungumza akiwa katika ziara nchini Tanzania. Kauli hiyo imekuja baada ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kusema kuwa alimhoji Ruto kuwa alitangaza kuhusu kiwanda hiko huku yeye akiwa hajui chochote. Mnamo Aprili 23, Ruto alitangaza kuwa nchi za Afrika Mashariki zinajadili uwezekano wa kujenga kiwanda cha pamoja cha kusafisha mafuta katika bandari ya Tanga. #bbcswahili #rutotanzania #samiasuluhu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw