Skip to main content
Skip to main content

Hoja ya kumvua Uhuru marupurupu yawasilishwa bungeni

  • | Citizen TV
    15,626 views
    Duration: 2:35
    Seneta wa Nandi Samson Cherargei amewasilisha hoja ya kumpokonya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta marupurupu yake ya kustaafu akidai amekuwa akijihusisha na siasa. Haya yanajiri huku Chama cha Jubilee kikasema kinara wao hatatishwa na hawatakubali jaribio lolote la kuondolewa kwa marupurupu hayo.