Skip to main content
Skip to main content

Padre Katili Bomet: Video yaonyesha mwanafunzi akipigwa

  • | Citizen TV
    30,190 views
    Duration: 2:21
    Mwanafunzi mmoja wa umri wa miaka 14 anaendelea kuuguza majeraha katika hospitali moja huko Bomet baada ya kupewa kichapo cha mbwa kabla ya kunyolewa kwa lazima na Padre mmoja wa shule ya St Peter Mugango. Kanda ya video inayoonyesha kijana huyo akipigwa na ambayo imesambaa mitandaoni imezua mjadala kuhusu adhabu aliyopewa mtoto huyo kufuatia madai ya utovu wa nidhamu.