Skip to main content
Skip to main content

Polisi wathibitisha vifo vya watu 18 kutokana na mafuriko nchini

  • | KBC Video
    243 views
    Duration: 3:12
    Idadi ya vifo kutokana na mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa kote nchini imefikia-18. Serikali imesema maafa mengi yamehusishwa na waathiriwa kuzama huku mvua kubwa ikiendelea kusababisha uharibifu mkubwa katika kaunti mbalimbali. Serikali vile vile imetangaza kutambuliwa kwa maeneo-59 ambayo yako kwenye hatari ya kukumbwa na mafuriko katika kaunti ya Tana River, ikionya uwezekano wa madhara zaidi huku viwango vya maji katika mto Tana vikiongezeka, mabwawa yote saba yakijaa maji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive