Skip to main content
Skip to main content

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta asutwa na baadhi ya viongozi kwa kuendeleza siasa potovu

  • | KBC Video
    255 views
    Duration: 3:15
    Baadhi ya wabunge wanaoegemea mrengo tawala wa Kenya Kwanza sasa wanamshtumu rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kuendeleza siasa za migawanyiko huku taifa hili likielekea kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wabunge hao walisema matamshi yaliyotolewa hivi majuzi na rais huyo mstaafu yanahujumu umoja wa kitaifa. Kwingineko, waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewahimiza wakenya kukumbatia umoja kwa ustawi wa taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive