Rais William Ruto amesisitiza kwamba serikali imetoa mgao wa kufadhili elimu ya muhula wa kwanza na wa pili, na kwamba hivi karibuni itatoa fedha za muhula wa tatu. Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili, kaunti ya Murang’a, kiongozi wa taifa alisema utawala wake unaangazia wajibu wake na kwamba hautavurugwa na wakosoaji.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive