- 16,295 viewsDuration: 2:59Shule ya upili ya wasichana ya St. Georges Nairobi imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya wanafunzi kuzua rabsha usiku wa kuamkia leo. Wasichana hao walikuwa wanalalamikia kile walichodai ni kupigwa kwa mwanafunzi mmoja na mwalimu wa shule hiyo.