Skip to main content
Skip to main content

'Taifa Stars ya Tanzania iko tayari kuchuana na Nigeria AFCON2025' - Mbwana Samata

  • | BBC Swahili
    10,279 views
    Duration: 25s
    ''Tuko tayari kwaajili ya mchezo wa kufungua ukurasa katika #AFCON2025 dhidi ya Super Eagles ya Nigeria'' Mbwana Samata Nahodha wa Taifa Stars ya Tanzania - Je Taifa stars ya Tanzania itasajili ushindi wake wa kwanza katika AFCON huko Morocco? - - #bbcswahili #taifastars ##foryou #morocco2025 #tanzania #AFCON Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw