- 182 viewsDuration: 3:46Rais William Ruto amezindua afisi ya masuala ya ubunifu katika ikulu kama sehemu ya kuongeza uwekezaji kwa sekta hiyo. Aidha rais amelihimiza bunge kufanikisha kupitishwa kwa mswada wa mwaka 2026 kuhusu uchumi bunifu na kuimarisha sheria za haki miliki ili kuwalinda wadau wa sekta hiyo. Kiongozi wa taifa alisema hayo wakati wa hafla ya 14 ya utoaji tuzo za mashindano ya filamu za Kalasha zilizoandaliwa katika kituo cha mikutano ya kimataifa cha Kenyatta, Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive