Skip to main content
Skip to main content

Viongozi kuteua wanafamilia yao kuna maana gani?

  • | BBC Swahili
    17,519 views
    Duration: 4:18
    Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi. Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko duniani kuchagua mtoto au ndugu wa karibu katika utumishi wa juu wa serikali Je Viongozi kuteua wanafamilia kuna maana gani? @sammyawami na maelezo zaidi - - #bbcswahili #tanzania #siasa #viongozi #utawala Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw