Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kiplaa, Keiyo kaskazini waishi kwa hofu kufuatia maporomoko ya ardhi

  • | KBC Video
    191 views
    Duration: 2:45
    Zaidi ya familia tano katika kijiji cha Kiplaa, eneo bunge la Keiyo kaskazini wanaishi kwa hofu baada ya kunusurika vifo kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea saa saba usiku jana usiku.Kisa hicho chasemekana kusababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kote nchini ambayo ilisababisha kuporomoka kwa sehemu ya bonde kutokana na maji mengi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive