Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Ndia, Kirinyaga waelezea wasiwasi kufuatia wizi makanisani eneo hilo

  • | KBC Video
    109 views
    Duration: 2:28
    Wakazi wa eneo bunge la Ndia, kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu msururu wa visa vya ujambazi vinavyolenga makanisa katika eneo hilo baada ya wezi kuvamia takriban makanisa matatu katika kijiji cha Riakiania na kupora vifaa vya muziki, piano na vipaza sauti. Maafisa wa kanisa walisema uporaji huo ulifanyika jana usiku huku bidhaa za thamani ya maelfu ya pesa zikiibwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive