Wakazi wa Transmara na Kisii waonywa kuhusu uhasama.

  • | Citizen TV
    257 views

    Kamishna wa Kaunti ya Narok Kipkech Lotiatia amezitaka jamii zinazoishi kwenye mpaka wa Transmara Magharibi ,Oloreko na Kenyenya Kisii kusitisha uhasama na kuishi kwa amani