Uhusiano kati ya Kenya na Marekani kwenye mizani

  • | Citizen TV
    5,636 views

    Uhusiano kati ya Kenya na Marekani ipo kwenye mizani, huku marekani ikitishia kuangazia upya uhusiano huo kufuatia matamshi ya rais William Ruto alipokuwa kwenye ziara rasmi nchini uchina mwezi uiopita. Bunge la Seneti la Marekani limesema kuwa kenya inazidi kupuuza makubaliano ya awali na Marekani kwa kuendeleza usuhuba na Uchina.