Je rais wa Ufaransa amepigwa kibao na mkewe ama 'mahaba'?

  • | BBC Swahili
    11,337 views
    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisukumwa na mkewe walipowasili Vietnam, wakianza ziara yao ya Kusini-Mashariki mwa Asia. Ikulu ya Élysée imedai ni mahaba, wewe unaonaje? Tuandikie comemnt fupi fupi hapo chini 👇🏿 - - #bbcswahili #Ufaransa #france🇫🇷 #rais #mahaba #mapenzi #ndoa #viongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw