Kabila anafanya nini Goma?

  • | BBC Swahili
    39,058 views
    Rais wa zamani wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo Joseph Kabila ameripotiwa kuwasili Goma usiku wa kuamkia leo. M23 imedai kwamba yupo huko japo yeye mwenyewe hajatoa taarifa kuwa yupo nchini DRC. Wengi wanajiuliza amekwenda huko kufanya nini siku chache tu bunge la Seneti kumuondolea kinga dhidi ya kushtakiwa? Mwandish wa BBC @RoncliffeOdit anachambua hili kwa kina katika Dira ya Dunia TV saa tatu usiku kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. - - #bbcswahili #DRC #goma #josephkabila #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw