Mwanablogu Albert Ojwang alifariki kutokana na majeraha mabaya ya kupigwa

  • | Citizen TV
    3,285 views

    Mwanablogu Albert Ojwang alifariki kutokana na majeraha mabaya ya kupigwa. Haya ndio matokeo ya upasuaji wa maiti uliofanywa leo na kuonyesha kuwa Albert alikuwa na majeraha kichwani na ishara ya kukabwa kooni.