Viongozi wa ODM walaani maauaji kiholela na utekaji nyara, watishia kuvunja mkataba na Kenya Kwanza

  • | NTV Video
    9,895 views

    Viongozi wa chama cha ODM wametishia kuvunja mkataba waliotia saini baina yao na serikali ya Kenya Kwanza, wakisema hauna maana yoyote iwapo Wakenya wanazidi kuuawa kiholela ilhali mojawapo ya maswala yaliyo ndani ya mkataba huo ni kukomesha visa vya utekaji nyara na mauaji.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya