Tamasha la muziki kaunti ya Homa Bay laangazia uraibu wa madawa

  • | Citizen TV
    129 views

    Washikadau wa elimu katika kaunti ya Homa bay wanaomba serikali kuu kuimarisha tamasha za muziki katika shule hasa shule zilizoko mashinani kama njia moja ya kupasha ujumbe dhidi ya madawa ya kulewya shuleni na mimba za utotoni.