Baraza la makanisa nchini lazindua mradi wa maji Kitui kusini

  • | Citizen TV
    542 views

    Baraza la makanisa nchini NCCK limeanzisha mradi wa maji safi katika eneo la mutomo kitui kusini katika harakati ya kupambana na Mimba za mapema miongoni mwa wasichana wachanga na migogoro ya kifamilia.