Wakaazi walalamikia hatari ya daraja la mkanda Kwale

  • | Citizen TV
    79 views

    Wakazi wa Lukore na Kichakasimba katika wodi ya Kubo South katika kaunti ya Kwale wamelalamikia ubovu wa daraja la Mkanda 1 katika barabara ya Mkongani kuelekea Shimba Hills. Mianya kwenye Daraja hilo ambalo liko katika hatari ya kuporomoka imezibwa kwa simiti na kokoto bila vyuma wakati wa kukarabatiwa baada ya kupata mashimo