PS Bitok atoa wito wa kukamatwa & kufunguliwa mashtaka kwa mwalimu wa Alliance Girls Peter Ayiro

  • | NTV Video
    288 views

    Katibu mkuu wa elimu ya msingi Julius Bitok ametoa wito wa kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa mwalimu wa Shule ya Wasichana ya Alliance, Peter Ayiro, anayetuhumiwa kwa kushiriki katika mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya