Maafisa wa DCI wamkamata Mbunge wa Naivasha Jayne kihara

  • | Citizen TV
    3,056 views

    Kizaazaa kilishuhudiwa nyumbani kwa Mbunge wa Naivasha Jayne Kihara hapo jana, maafisa wa DCI walipomkamata. Maafisa hao walizingira nyumba ya mbunge huyo na kumfanya kukatiza mkutano kati yake na wafuasi wake